Tailoring and sewing technology (ushonaji)
idara hii inahusisha uundaji wa mavazi na nguo. wanafunzi huweza kujifunza namna ya kushona mitindo mbalimbali ya mavazi. Idara hii inahusisha mafunzo ya nadharia na vitendo na kuwafanya wanafunzi kuwa wabunifu wa mitindo mipya
Comments
Post a Comment