Welding and metal fabrication
Idara hii inahusisha na ufundishaji wa namna tofauti za uungaji wa vyuma vya aina mbalimbali. katika idara hii wanafunzi huwenza kujifunza kutengeneza na kuandaa thamani za chuma kama vitanda, meza, viti madirisha na milango. wanafunzi hujifunza kwa nadharia na vitendo ili kuwapa ujuzi stahiki katika katika fani ya uungaji vyuma
Comments
Post a Comment