KIDT -VTC MOSHI
Ni chuo kilichosajiliwa na veta kutoa mafunzo stadi katika fani mbalimbali
chuo kipo Moshi mjini barabara ya kuelekea TPC mkabala na Serengeti breweries.
Kinatoa fani mbalimbali kama
- Auto electric
- Motor vehicle mechanics
- Electrical installation
- Plumbing and pipe fitting
- Masonry and bricklaying
- Plumbing and pipe fitting
- Tailoring and sewing technology