KIDT -VTC MOSHI Ni chuo kilichosajiliwa na veta kutoa mafunzo stadi katika fani mbalimbali chuo kipo Moshi mjini barabara ya kuelekea TPC mkabala na Serengeti breweries. Kinatoa fani mbalimbali kama Auto electric Motor vehicle mechanics Electrical installation Plumbing and pipe fitting Masonry and bricklaying Plumbing and pipe fitting Tailoring and sewing technology
Posts
- Get link
- X
- Other Apps
Welding and metal fabrication Idara hii inahusisha na ufundishaji wa namna tofauti za uungaji wa vyuma vya aina mbalimbali. katika idara hii wanafunzi huwenza kujifunza kutengeneza na kuandaa thamani za chuma kama vitanda, meza, viti madirisha na milango. wanafunzi hujifunza kwa nadharia na vitendo ili kuwapa ujuzi stahiki katika katika fani ya uungaji vyuma